Monday 1 September 2014

LA LIGA: REAL MADRID YACHEMKA KWA REAL SOCIEDAD

Beki wa Real Sociedad Inigo Martinez akishangilia bao...
Real Madrid jana walichapwa 4-2 na Real Sociedad na kubaki na mshangao mwishoni...Real walianza vizuri sana na wakapata mabao 2 mapema sana...Sergio Ramos dakika ya 5 na Gareth Bale dakika ya 11...


Gareth Bale akifunga bao safi...
Real Madrid mwaka huu wamechukua vifaa vya ukweli kuimarisha timu kama James Rodriguez na Toni Kroos....Lakini pamoja na kucheza vizuri Real Sociedad waliweza kuipangua beki ya Real Madrid kwa umakini wa hali ya juu na kuibuka na ushindi...Wafunganj wengine ni Zurutuza mabao 2 na Vela...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment