Wednesday 10 September 2014

FIFA: NIGERIA HAWATOFUNGIWA


Fifa imesema haitoifungia Nigeria kutokana na Aminu Maigari kuruhusiwa kuendelea kuendesha shirikisho la soka l Nigeria (NFF)...Chris Giwa alimpinga Maigari na uchaguzi uliofanyika mwezi wa 8 ambao Chris alisema kashinda haukutambuliwa na Fifa...

Aminu Maigari....boss wa NFF
Fifa wametoa onyo kwamba  issue za kutokuelewana zikiendelea watafungiwa...Nigeria wangefungiwa wangekosa mechi muhimu sana ya African Cup of Nations leo huko South Africa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment