Wednesday 10 September 2014

NFL: RAY RICE ATIMULIWA BALTIMORE RAVENS NA KUSIMAMISHWA NFL


Running back wa Baltimore Ravens Raymell Mourice "Ray" Rice ametimuliwa siku hiyo hiyo video ambayo iliibuka ikimwonesha Ray akimtwanga na kumvuta mchumba ambae ni mke wake wa sasa kwenye lifti ya hoteli...Video hiyo iliibuliwa na website moja kubwa sana ya udaku nchini Marekani...


Website hiyo inayoitwa TMZ iliweka hiyo video kwenye website yao na kuwa gumzo kubwa sana kuhusu unyanyasaji wa kijinsia...Pamoja na kutimuliwa NFL nao wamesema wamemsimamisha Ray Rice kucheza kwenye ligi hiyo kwa muda usiojulikana...Adhabu hizi kali sana zimepeleka ujumbe mkali kwa yeyote atakae patikana na tabia kama za Ray Rice...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment