Tuesday 2 September 2014

TFF: MKURUGENZI WA MASUALA YA SHERIA AJIUZULU


Mkurugenzi wa masuala ya vikundi ya wanachana na masuala ya sheria ameamua kujiuzulu TFF...Evodius Mtawala ameamua kufanya hivyo kutokana na mazingira mabovu ya kufanyia kazi...Mtawala ambae pia alikuwa kiongozi mkubwa sana Simba ana shahada ya usimamizi wa biashara na shahada ya sheria inasemekana pia sababu nyingine ni uamuzi wa suala la usajili wa Okwi...Bofya hapa upate habari zaidi .

No comments:

Post a Comment