Friday 19 September 2014

TENNIS: LI NA ASTAAFU TENNIS


Bingwa wa tennis kutoka China Li Na ameamua kustaafu...Li Na mwenye umri wa miaka 32 amechukua hatua hiyo baada ya kupata matatizo ya magoti...Li Na ni mchezaji wa kwanza kutoka Asia kuchinda Grand Slam title na anazo 2...


Grand Slam ya kwanza alipata kwenye French Open 2011 na ya 2 mwaka huu kwenye Australian Open...Li Na anastaafu akiwa namba 2 kwenye rankings za dunia...Anasema ilimchukua miezi kadhaa kuchukua uamuzi wa kustaafu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment