Wednesday 24 September 2014

NBA: DERRICK ROSE ATOA DOLA MILIONI 1 KUSAIDI WATOTO WASIOJIWEZA


Star wa Chicago Bulls Derrick Martell Rose ametoa dola milioni 1 kusaidia program za watoto waishio katika mazingira magumu baada ya kutoka shule...Ametoa pesa hizo kwenye NGO inayosaidia watoto wanaoishi kwenye umaskini huko Chicago Marekani...Derrick ni mchezaji aliyetoka kwenye mazingira magumu na kujitahidi mpaka amekuwa tajiri na mchezaji hodari sana wa Basketball...Hapo chini ni press release yake...Safi sana Derrick kwa kuonyesha mfano mzuri...

“To have a strong community of people who believe in your potential can make all the difference in the world,” said Rose, a native of Englewood, who is a point guard for the Chicago Bulls. “So many people have invested in me and I want to do the same for Chicago’s teens.”


No comments:

Post a Comment