Tuesday 16 September 2014

SAFARI POOL 2014: TOPLAND KINO MABINGWA


Timu ya mchezo wa Pool ya Topland kutoka Kinondoni imetetea ubingwa wake baada ya kuigaragaza timu ya Anatory kutoka Morogoro 13-3...Mshindi wa tatu ni Mashujaa ambao wanatokea Ilala...Topland wameibuka na zawadi ya milioni 5 na kikombe na medals za dhahabu...Anatory wamepata milioni 2.5 na Mashujaa milioni 1.25...Mashindano haya yamliandaliwa na Tanzania Breweries chini ya brand ya Safari Lager na Chama cha Pool Tanzania (TAPA) na Naibu Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni alikuwepo kutoa zawadi kwa washindi na kuwashukuru wadau wote waliofanikisha mashindano haya....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment