Wednesday 17 September 2014

CHAMPIONS LEAGUE: LIVERPOOL YAILAZA RAZGRAD


Liverpool FC imeanza vizuri kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya mabingwa wa Bulgaria Ludogorets Razgrad...Kipindi cha 1 kilikuwa cha kupimana na hakikuwa na pilika nyingi...Kipindi cha 2 Liverpool walionyesha ule moyo wao wa kutokata tamaa mbele ya the Kop na hatimaye dakika ya 83 Balotellli aliwatoka mabeki na kiweka mpira ndani ya nyavu...


Dakika ya 90 walisawazisha kupitia kwa substitute Danny Abalo...Dakika za nyongeza kipa wa Razgrad Milan Borjan alifanya kosa kwa kumfanyia foul Javier Manquillo na refa akatoa penalty...Steve Gerrard ndio aliye piga mpira na kuwapa Liverpool ushindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment