Uzinduzi wa Rock City Marathon utafanyika Septemba 10 jijini Dar es Salaam kwenye Hoteli ya New Africa...Mashindano haya ambayo yalianza 2009 na yanatarajiwa kukuza utalii wa ndani nchini na yameboreshwa kuliko miaka yote kutokana na uzoefu na wadhamini wengi wamejitokeza kudhamini mashindano haya...Baadhi ya wadhamini ni African Barrick Gold, NSSF, TTB Bank M, New Africa Hotel na IPTL...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Monday, 8 September 2014
ROCK CITY MARATHON 2014: UZINDUZI KUFANYIKA KESHOKUTWA
Uzinduzi wa Rock City Marathon utafanyika Septemba 10 jijini Dar es Salaam kwenye Hoteli ya New Africa...Mashindano haya ambayo yalianza 2009 na yanatarajiwa kukuza utalii wa ndani nchini na yameboreshwa kuliko miaka yote kutokana na uzoefu na wadhamini wengi wamejitokeza kudhamini mashindano haya...Baadhi ya wadhamini ni African Barrick Gold, NSSF, TTB Bank M, New Africa Hotel na IPTL...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment