Tuesday 9 September 2014

EURO 2016: ENGLAND YASAIDIWA NA WELBECK


England yaanza vizuri mbio za kuelekea Euro 2016 baada ya Danny Welbeck kifaa kipya cha Arsenal kupachika mabao yote 2 dhidi ya Switzerland...England wamejitahidi tofauti na jinsi walivyochemsha kwenye World Cup huko Brazil...


Diamond formation iliwasaidia England hasa Raheem Sterling ameweza kucheza vizuri chini ya hii formation...Welbeck alipata bao dakika ya 58 na 90...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment