Tuesday 9 September 2014

US OPEN 2014: MARIN CILIC BINGWA


Marlin Cilic ashinda Grand Slam yake ya kwanza kwa kumchapa mjapani Kei Nishikori kwa straight sets...Cilic alishinda 6-3 6-3 6-3 na amekuwa mtu wa kwanza kutoka Croatia kushinda moja kati ya Grand Slam 4 toka kocha wake  Goran Ivanicevic ashinde mwaka 2001...


Michuano hii ya US Open ni Grand Slam ya mwisho kwa mwaka wa tennis ambao umeona watu tofauti kushinda Grand Slam zote 8 kwa singles za wanaume na wanawake na hii haijatokea toka 1998...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment