Tuesday 16 September 2014

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL WAKO TAYARI KUWAKABILI DORTMUND LEO

Welbeck akiwa wenzake ndani ya pipa wakielekea kupambana na Dortmund...

Arsenal FC timu iko tayari kupambana na Dortmund katika mechi ya Champions League Group D...Arsenal ambayo ilipata pigo kubwa baada ya beki Mathieu Bebuchy kuumia na atakaa nje takriban miezi 3 wako tayari na mabeki wa 3 ambao wako fiti na tayari kupambana leo usiku...Group D wengine ni Anderlecht na Galatasary...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment