Monday 8 September 2014

US OPEN: SERENA BINGWA TENA US OPEN



Bongwa wa dunia wa tennis upande wa wanawake Serena Williams amishinda US Open 2014...


Serena alimchpa kisawasawa Caroline Wozniaski 6-3 6-3.

Kwenye seti ya 2 Serena alipiga winners 22 na Caroline 1 tu.



Ushindi huu unampatia Serena grand slam 18 za singles sawa na mabingwa wa zamani Martina Navratilova na Chris Evert.

Sasa Serena anamfukuzia Steffi Graf ambae ana grand slam 22 zaidi ya mtu yoyote kwa sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment