Arsenal wamemchukua Danny Welbeck al-maarufu bongo kwa jina la Shabba Ranks katika mbio za kuwahi dirisha kubwa la usajili lililofungwa jana usiku...Welbeck kutoka Manchester United amtia saini dili la muda mrefu ambalo limegharimu pound milioni 16...Kutokana na Olivier Giroud kuvunjika mguu na atakuwa nje mpaka mwakani Welbeck atafidia nafasi yake vizuri...Bofya hapa upate hbari zaidi
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 2 September 2014
EPL: DANNY WELBECK NDANI YA EMIRATES
Arsenal wamemchukua Danny Welbeck al-maarufu bongo kwa jina la Shabba Ranks katika mbio za kuwahi dirisha kubwa la usajili lililofungwa jana usiku...Welbeck kutoka Manchester United amtia saini dili la muda mrefu ambalo limegharimu pound milioni 16...Kutokana na Olivier Giroud kuvunjika mguu na atakuwa nje mpaka mwakani Welbeck atafidia nafasi yake vizuri...Bofya hapa upate hbari zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment