Sunday 7 September 2014

F1: HAMILTON ASHINDA ITALIAN GRAND PRIX


Lewis Hamilton ameshinda Italian Grand Prix baada ya kuchelewa kuanza mwanzoni nakujikuta yuko nafasi ya 4...Hamilton alijitahidi sana mpaka akafika nafasi ya 2 nyuma ya teammate wake Nico Rosberg...Alimfukuza Rosberg baada ya kubadilisha matairi na hiyo ikasababisha Rosberg afanye makosa na kushindwa kukata kona ndipo Hamilton alipoata nafasi ya kumpita...


Nafasi ya 2 alichukua Nico Rosberd na nafasi ya 3 alichukua Felipe Massa...Mashindano haya yalikuwa na ushindani mkubwa sana hasa kutoka kwa Bottas na pia Ricciardo, Button, Perez na Magnussen...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment