Monday 22 September 2014

EPL: LEICESTER CITY YAIRARUA MANCHESTER UNITED


Manchester United wararuriwa 5-3 na Leicester City bila ubishi...Manchester walianza vizuri kipindi cha kwanza na ndio walioanza kufunga kupitia kichwa cha Van Persie dakika ya 13 na dakika 3 badae Di Maria aligusa mpira vizuri na unatingisha nyavu...Muda mfui tu Leornado akawapatia Leicester bao...Kipindi cha pili Hererra aliwapeleka Manchester mbele 3-1 lakini beki ikaanza kusambaratika sana na kuwapa Leicester ushindi mkubwa sana...


Sasa Van Gaal anakuna kichwa jinsi gani ajipange upya maana Jonny Evans alilazimika kuondoka dakika ya 30 akiwa na maumivu makali na Tyler Blackett amesimamishwa game moja kutokana na foul yake...Manchester wameshinda game 1 toka msimu uanze...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment