Monday 15 September 2014

FIBA BASKETBALL WORLD CUP: TEAM USA BINGWA TENA


Team USA yanyakua medal ya dhahabu baada ya kuwagaragaza Team 129-92...Kyrie Irving amekuwa MVP wa michuano hiyo ambayo ilifanyika huko Spain na alipata points 26...Kuna wakati Irving alichapa baskets za 3pts mara 6...Team USA sasa wameweza kushinda mechi 63 mfululizo, 45 za FIBA na 18 za maonyesho...Sasa wamepata nasafi ya moja kwa moja ya kucheza Olympics huko Brazil mwaka 2016...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment