Sunday 14 September 2014

VPL: YANGA YAIRARUA AZAM NA KUBEBA NA KUBEBA NGAO YA JAMII


Max Sports inawaletea taarifa jioni hii kutoka uwanja wa taifa...Yanga wamebeba ngao ya jamii leo baada ya kuigaragaza Azam FC mabao 3-0... Mabao 2 yametoka kwa Jaja dakika ya 58 na dakika ya 66 na Bao la 3 kutoka kwa Msuva dakika ya 88...Inaonekana ligi hii itakuwa kali sana msimu huu...Usikose kufuatilia ligi hii kwenye Max Sports...

No comments:

Post a Comment