Saturday 13 September 2014

OSCAR PISTORIUS: HANA HATIA YA KUUA LAKINI ANA HATIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA


Oscar Pistorius mwanariadha maarufu kutoka Afrika ya Kusini ambae hana miguu amekutwa hana hatia ya kuua kwa kukusudia mchumba wake Reeva Steenkamp na Judge Thokozile Masipa...Judge Masipa alisema October 13 atasema kama atashtakiwa kwa culpable homicide (manslaughter) au ataachuwa huru...


Kabla ya kuahirisha kesi alisema mtu mwenye akili timamu asinge piga risasi kwanza aliposikia kuna mtu bafuni...Kesi hii imeleta gumzo kubwa dunia nzima kutokana na jinsi mchumba wake Pistorius alivyo uawa...Kwa sasa Pistorius atakuwa nje kwa dhamana...Unaweza kuangalia hukumu yake iliyochukua siku 2 hapo chini...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment