Saturday 20 September 2014

FIFA: MICHEL PLATINI AGOMA KURUDISHA SAA YA POUNDS 16,000


Rais wa Uefa Michel Platini amekataa kurudisha saa aliyopewa huko Brazil na Brazilian Football Confederation (CBF)...Fifa walitoa agizo wote waliopokea saa hizo wazirudishe lakini Platini amegoma na kusema yeye amesoma na harudishagi zawadi na kwanini Fifa wanataka zirudi sasa na walijua zawadi hizo zilitolewa June...Sponsors wa CBF walitoa saa hizo kwa mabosi wa association 32...Executive members wa Fifa 28 na wengine 5 wa association za South America...Bofya hapa upate hbari zaidi.

No comments:

Post a Comment