Saturday 6 September 2014

SPAIN: DIEGO COSTA KUKOSA EURO 2016 QUALIFIER


Diego Costa wa Chelsea atakosa mechi ya kwanza ya Spain ya kujiandaa na Euro 2016 baada ya kuumia misuli ya paja...Aliumia katika mechi ya kirafiki na Ufaransa na ilibidi atolewe dakika ya 67...Costa amesha funga magoli 4 na Chelsea na sasa itabidi apate matibabu na ajiweke fit...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment