Wednesday 24 September 2014

CAPITAL ONE CUP: LIVERPOOL NA MIDDLESBROUGH YASAWAZISHA HISTORIA

Supper Mario akipiga penalty...
Liverpool na Middlesbrough wafikia rekodi ya penalties baada ya mechi kuisha 2-2...Zilichapwa penalties 30 mbele ya the Kop zikiwaacha mashabiki wakishangaa na kutoa macho balaa...Baada Albert Adomah wa Middlesbrough kukosa penalties Liverpool walisoga mbele...

Albert akikosa penalty iliyowapeleka Liverpool mbele...
Liverpool waliongoza mapema kipindi cha 1 kupitia kwa Rossiter na Middlesbrough walisawazisha kipindi cha 2 na mpira ukafika dakika za nyongeza ndipo Suso alipowaweka Reds mbele lakini penalty dakika za mwisho kabisa kupitia kwa Patrick Bamford ililazimisha shootout...Cheki hapo chini magoli yalivyoingia...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment