Saturday 6 September 2014

SIMBA SC: PHIRI KUMCHEZESHA OKWI LEO

Kiongera akijaribu kumtoka mtu...
Patrick Phiri Mzambia kocha mpya wa Simba leo kwa mara ya kwanza ataingia uwanja wa taifa na timu yake dhidi ya mabingwa wa Kenya Gor Mahia...Mechi ya kirafiki ya leo ni ya kujiweka sawa kabla msimu haujaanza...

Okwi...
Phiri atawachezesha wachezaji wapya Okwi na Kiongera...Kiongera ambae ni winga ametokea KCB na amesaini mkataba na wana Msimbazi wa miaka 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment