Switzerland wameingia fainali ya Davis Cup baada ya kuwatoa Italy 3-1...Roger Federer ameisaidia timu yake ua uswiss baada ya kumchapa namba 1 wa Italy Fabio Fognini 6-2 6-3 7-6 (7-4)...Watakutana na France kwenye fainali baada ya kuwatoa Czech Republic 4-1...Switzerland haijawahi kushinda Davis Cup lakini na France wamewahi kushinda mara9...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 14 September 2014
DAVID CUP: FEDERER AISAIDIA TIMU SWISS KUINGIA FAINALI
Switzerland wameingia fainali ya Davis Cup baada ya kuwatoa Italy 3-1...Roger Federer ameisaidia timu yake ua uswiss baada ya kumchapa namba 1 wa Italy Fabio Fognini 6-2 6-3 7-6 (7-4)...Watakutana na France kwenye fainali baada ya kuwatoa Czech Republic 4-1...Switzerland haijawahi kushinda Davis Cup lakini na France wamewahi kushinda mara9...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment