Bingwa wa dunia Novac Djokovic ameingia robo fainali ya michuano mikali ya US Open huko Flushing Meadows, New York, Marekani...Djokovic alimchapa kwa straight sets mjerumani Philipp Kohlschreiber 6-1 7-5 6-4...Atakutana na Andy Murry baada ya Murry kumtoa Jo-Wilfred Tsonga.
No comments:
Post a Comment