Thursday 25 September 2014

GHANA: ASAMOAH GYAN AZUSHIWA KUUA RAFIKI


Ghanaian international football star Asamoah Gyan amezushiwa kumuua rafiki yake wa karibu sana na kutumia mwili wake kwa issue za kishirikina...Gyan alichukua rafiki zake kama 16 wakaenda kusini mwa Ghana sehemu inaitwa Ada kwa mapumziko mafupi...Walivyokuwa huko Ada Theohillus Tagoe maarufu sana Ghana kwa jina la Castro na pia ni mwimbaji wa nyimbo za Hiplife au Afrobeat alimchukua rafiki yake wa kike, Janet Bandu, wakaenda kupanda pikipiki za majini au kwa jina jingine Jet Ski...


Baada ya hapo hakuna mtu aliwaona tena na Gyan na rafiki zake wakisaidiwa na Police waliwataafuta sana bila mafanikio...Sasa police wanasema Castro na mwenzake wakakuwa wamefariki...Vyombo vya habari huko Ghana vinasema Gyan alimuua mwenzake iliafanye mambo ya kishirikina ili aendelee kufanikiwa...Gyan na familia yake imekanusha kuhusika na kifo chake na wameongea na waandishi wahabari kuhusina na hili suala...Hapo chini ni moja video ya maarufu ya Castro akiwa na rafiki yake Gyan...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment