Thursday 4 September 2014

INTERNATIONAL FRIENDLIES: DI MARIA AISAIDIA NCHI YAKE IPATE USHINDI


Argentina jana usiku waliwachapa Germany 4-2 kwa msaada mkubwa kutoka kwa Di Mria...Di Maria ndio aliyesababisha magoli matatu na yeye akapata bao la 4 pia...


Sergio Aguero alipokea pasi safi kutoka kwa Di Maria na kufunga bao pia Lamela wa Tottenham alipachika la 2 safi la volley na Fernandez wa Swansea aliwaweka Argentina mbele 3-0...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment