Wednesday 10 September 2014

F1: MWENYEKITI WA FERRARI ASTAAFU BAADA YA MIAKA 23


Luca Cordero di Montezemolo ameamua kustaafu baada ya muda mrefu kutokaana na timu ya Ferrari kutofaanya vizuri kwa mudaa mrefu na pia haelewani na CEO wa kampuni mama ya Fiat Sergio Marchione...


Marchione atachukua nafasi ya Luca akiondoka tarehe 13 mwezi wa 10...Ferrari haijashinda kombe Constructors toka 2008...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment