Nico Rosberg apewa adhabu kwa kumgonga Lewis Hamilton na timu yake ya Mercedes...Adhabu hiyo haikutajwa lakini inasemekana ni faini...Nico alikubali kuwa alimgonga Hamilton kwa maksudi lakini hakupewa adhabu na wasimamizi wa F1...Kuna uhasama mkubwa baina ya Nico na Hamilton na inaonekana Hamilton ni dereva mzuri zaidi..Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 2 September 2014
F1: ROSBERG APEWA ADHABU NA MERCEDES
Nico Rosberg apewa adhabu kwa kumgonga Lewis Hamilton na timu yake ya Mercedes...Adhabu hiyo haikutajwa lakini inasemekana ni faini...Nico alikubali kuwa alimgonga Hamilton kwa maksudi lakini hakupewa adhabu na wasimamizi wa F1...Kuna uhasama mkubwa baina ya Nico na Hamilton na inaonekana Hamilton ni dereva mzuri zaidi..Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment