Kocha wa zamani wa Simba Patrick Phiri arejea tena Msimbazi...Mzambia ametia timu bongo akipokelewa na umati mkubwa wa mashabiki wa Simba SC...Phiri sasa anaifundisha Simba mara ya 3 na amesema ataweka mambo sawa na yuko tayari...Amemshukuru boss wa Simba Aveva kumpa nafasi tena ya kuisaidia Simba...Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment