Saturday 23 August 2014

SPANISH SUPER CUP: ATLETICO MADRID YAICHAPA REAL MADRID NA KUCHUKUA UBINGWA


Mario Mandzukic  alifanikiwa kupiga bao lake la kwanza toka ahamie Atletico kutoka Bayern Munich...Mechi iliisha 1-0 kwahiyo Atletico walishinda kwa aggregate ya 2-1...Vifaa vingi vya Real Madrid vilishindwa kuwika na pia Ronaldo alivyoingia kipindi cha 2 alichemsha...Bale na Colombian International James Rodriguez ndio pekee walioonyesha soka la ukweli...Kocha wa Atletico Diego Simeone alitolewa baada ya kumgonga mwamuzi wa 4 kichwani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment