Wednesday 6 August 2014

LA LIGA: XAVI ASTAAFU SOKA


Xavi Hernandez ameamua kustaafu soka la kimataifa...Xavi alianza kuicheze Spain tarehe 15 November 2000 akiwa na miaka 20...Ameshinda World Cup na mara 2 Kombe la Ulaya...Aliichezea nchi yake mara 133 na kufunga magoli 13...Xavi ameitumikia vema timu yake ya Spain...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment