Wednesday 20 August 2014

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL YAISIMAMISHA BESIKTAS


Besiktas ilisimamishwa na Arsenal katika game kali sana ya mchakato wa Champions League...Game ilianza kwa makeke ya Demba Ba ambae alipiga mkwaju mkali toka katikati ya uwanja mpaka kipa kuruka na kupangua maana ilikuwa hatari sana...Ba alichea vizuri sana na kufanya usumbufu sana golini mwa Arsenal...

Ba akichapa mkwaju kutoka katikati ya uwanja mpaka golini...ilikuwa hatari...

Arsenal nao walicheza mchezo mzuri sana lakini kuna wakati walikuwa wana linda lango sana...Kipindi cha 2 kilikuwa taratibu kidogo lakini tuliona Ramsey akitolewa kwa kupata kadi 2 za njano...Oxlade alikuwa hatari golini kwa Besiktas na alikosa goli baada ya kugonga mwamba...Bofya hapa upate mambo zaidi.


No comments:

Post a Comment