Friday 22 August 2014

NFL: EAGLES YAICHAPA STEELERS

Nick Foles (source:http://www.philadelphiaeagles.com)
Philadelphia Eagles wamewachapa Pittsburgh Steelers 31-21...Steeles walishindwa kabisa kuvunja first-team defence ya Eagles wakati first-team offence ya Egles ilikuwa imesimama ikiongozwa na Nick Foles...Foles kati ya pasi 26 ni 19 zilifika salama katika yadi 179...

Watoto wakienjoy game
(source:http://www.philadelphiaeagles.com)
Ben Roethlisberger wa Steeles kipindi cha 3 alijaribu kurusha yadi 27 na akafanikiwa kumpata Heath Miller na wakapata TD (touchdown) au wakabiga bao...Roethlisberger alimaliza akiwa na pasi 24 lakini 15 tu ndio zilifika na yadi 157 zilitumika...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment