Sunday 17 August 2014

EPL: ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUSHINDA MECHI YA KWANZA


Arsenal jana walishinda mechi yao ya kwanza dhidi ya Crystal Palace kwa mabao 2-1...Palace walipata bao dakika ya 35 lakini Arsenal walisawazisha baada ya dakika 10 baadda ya Alexis Sanchez kuiga free-kick na Laurent Koscielny kupachika bao...


Dakika za lalasalama Ramsey alifanikiwa kuchapa bao la karibu na kuwapa ushindi Arsenal...Palace walicheza bila kocha kutokana na kocha wao kuondoka ghafla juzi tu lakini walikuwa chini ya usimamizi mzuri wa Keith Millen...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment