Saturday 9 August 2014

VPL: SIMBA KUONYESHA WACHEZAJI WAPYA LEO DHIDI YA ZESCO


Leo mahabiki wa Simba na wadau wa soka nchini watapata nafasi ya kuona wachezaji wapya...Makamu rais wa club 'Kaburu' amesema wachezaji hao wataingia uwanjani na kuonyeshwa mbele ya mashabiki kabla ya mechi ya vijani ya U-20 ya Simba kucheza na timu ya vijana ya Azam na baada ya hiyo game ndio Simba watacheza na Zesco kutoka Zambia...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment