Sunday 10 August 2014

ROGERS CUP: VENUS AINGIA FAINALI KWA KUMTOA MDOGO WAKE


Venua Williams amenchapa dada yake ambae ni bingwa wa dunia Serena Williams 6-7 (2-7) 6-2 6-3...Kilichommaliza Serena ni kukosea sana bila kukoseshwa 'unforced errors' nyingi na 'double faults'...Serena alikuwa na 'aces' 19 lakini hazikumsaidia...Venus alipunguza kasi ya ukali katika miaka ya hivi karibuni lakini alijitutumua na kushinda kombe moja la WTA mwaka huu...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment