Kipa hatari sana wa Liverpool Pepe Reina sasa anahamia Bayern Munich...Reina ambae hakupendwa sana na Brendan Rodgers na hasa alipoingia Simon Mignolet alihamia Napoli kwa mkopo sasa ataidakia Bayern...Reina ameidakia Liverpool mara 394 na aliingia Merseyside mwaka 2005...Bofya hapa upate habari zaidi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 6 August 2014
EPL: REINA KUINGIA BAYERN
Kipa hatari sana wa Liverpool Pepe Reina sasa anahamia Bayern Munich...Reina ambae hakupendwa sana na Brendan Rodgers na hasa alipoingia Simon Mignolet alihamia Napoli kwa mkopo sasa ataidakia Bayern...Reina ameidakia Liverpool mara 394 na aliingia Merseyside mwaka 2005...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment