Sunday 3 August 2014

EPL: MANCHESTER UNITED YASHINDA 3-1 DHIDI YA REAL MADRID


Manchester United ilifanikiwa kushinda game ya kirafiki huko Marekani dhidi ya Real Madrid 3-1...Mechi ilikuwa kali na mbele ya watazamaji 109,318 huko Michigan Marekani...Mechi imevunja rekodi ya kuwa na watazamaji wengi kuliko zote...Imevunja rekodi ya 1984 Olympics kwenye fainali ya Ufaransa na Brazil...


Ashley Young ndio aliyeanza kufungulia magoli baada ya kupachika bao dakika ya 21...Badae kidogo Gareth Bale alipata bao la penalty dakika ya 27...Dakika ya 37 Young akajipatia bao la 2 na baada ya mapumziko Hernandez alipata bao dakika ya 80...Sasa Man U watakutana na Liverpool jumatatu kwenye fainali ya International Champions Cup...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment