Friday 15 August 2014

EPL: AGUERO ABAKI CITY


Sergio "Kun" Aguero amebakia Manchester City kwa mkataba wa miaka 5...Aguero ndiye aliyefunga bao la siku ya mwisho wa msimu na kuchukua ubingwa wa premership...Wenzake wakina Kompany, Nasri, Silva na Kolarov wametia saini mikataba mipya...

No comments:

Post a Comment