Saturday 2 August 2014

CHESS OLYMPIAD 2014: TANZANIA YAWAKILISHWA VYEMA HUKO TROMSO NORWAY


Watanzania wa 5 wakiwaongozwa na kiongozi wa Tanzania Chess Association (TCA) Geoffrey Mwanyika wametuwakilisha kwenye Chess Olympiad michuano mikubwa sana ya Chess duniani huko Tromso Norway...



Olympiad ya 41 ilifunguliwa rasmi na Waziri wa Fedha wa Norway, Siv Jensen, ambae alisema anawakaribisha washiriki na wadau wote na pia wanajivunia kwakuwa bingwa wa dunia Magnus Carlsen anatokea Norway kwa hiyo ni sahihi michuano hiyo inafanyika Tromso ...



Hii ni mara ya kwanza wachezaji wengi sana na makocha na wadau wa Chess kukutana sehemu moja...Nchi 180 zitachuana kupata bingwa na mashindano haya hufanyika kila baada ya miaka 2...Bofya hapa upate habari za michuano hii mikali...


No comments:

Post a Comment