Sunday 17 August 2014

BOXING: BINGWA MPYA WA IBF WELTERWEIGHT APATIKANA


Uzito wa welterweight wa IBF umepta bingwa mpya...Kell Brook amekuwa bingwa wa dunia mkanda wa IBF...
Brook alimtwanga Shawn Porter huko Carson Marekani kwa uamuzi wa majaji wa 2 (117-111 na 116-112) na jaji wa 3 (114-114) alitoa kadi ya draw.

Brook ambae anatoka Uingereza sasa ananaffasi ya kuambana na mkongwe Amir Khan.

Khan amesema ataafurahi kuzichapa nae na anataka iwe sehemu kama Wembley kwani watauza sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment