Thursday 28 August 2014

CHAMPIONS LEAGUE: GOLI LA KWANZA LA ALEXIS SANCHEZ LAIPELEKA ARSENAL GROUP STAGE


Arsenal sasa inaingia group stage ya Champions League mara ya 17 mfululizo na goli la kwanza la Alexis Sanchez ndilo lililoipeleka Arsenal mbele...Game ilikuwa ngumu kwa Arsenal hasa mwishoni ukizingatia walibaki 10 baada ya Mathieu Debuchy kutolewa nje...


Beki ya Arsenal ilikuwa imara maana kuna wakati presha za mashibiki wengine zilianza kupanda...Arsenal waliwakosakosa Besiktas lakini hawakuweza kuongeza magoli...Sanchez aliweza kutingisha nyavu dakika ya 45 na ndio goli pekee la usiku huo...Besiktas walilalamika kunyimwa penalty wakati Ramon Motta alipokwatuliwa na Jack Wilshere ndani ya 18...


Kutokana na Giroud kuvunja mguu na anaweza asicheze mpaka mwakani inabidi Wenger achangamkie mchezaji mwingine kabla ya dirisha la usajli halijafungwa...Bofya hapa upte habari zaidi.

No comments:

Post a Comment