Tuesday 19 August 2014

BASKETBALL: TEAM USA YAICHAPA VIBAYA TEAM BRAZIL


Team ya taifa ya basketball ya Marekani ambayo inajulikana kwa jina la Team USA iliichapa timu ya Brazil 95-78 katika uwanja wa United Center Chicago...Timu hizi zinajiandaa na kombe la dunia la basketball litalofanyika Spain mwisho wa mwezi...MVP wa zamani Derrick Rose alishangiliwa sana na mashabiki alivyoingia kuichezea timu yake...Rose ambae alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na kuumia goti sasa yuko fiti na alicheza vizuri sana...



James Harden na Stephen Curry watahitaji sana msaada wa Derrick Rose maana Kevin Durant ameondoka na Paul George amevunja mguu kwahiyo offence itahitaji sana mtu wa kusukuma mbele...Bofya hapa upate habari za Team USA.

No comments:

Post a Comment