Friday 22 August 2014

EPL: BALOTELLI MBIONI KUINGIA ANFIELD


Mario Balotelli anahitajika sana na Brendan Rodgers kuimarisha kikosi hasa mbele...AC Milan wamekubali dau la Liverpool la milioni 16 pounds...Balotelli mchezaji mwenye umri wa miaka 24 ni machachari na mkorofi kiaina alikuwa Manchester City hapo awali akahamia AC Milan kwa dau la milioni 19 pounds...Huko AC Milan amepiga mabao 30 kati ya mechi 54...Arsenal walitaaka kumchukua Balotelli lakini walipomchukua Alexis Sanchez dili likafa...Balotelli amewaaga rasmi wachezaji na waandishi wa habari wa AC Milan...Bofya hapa usome zaidi.

No comments:

Post a Comment