Tuesday 5 August 2014

INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP: MANCHESTER UNITED WACHUKUA KOMBE KWA KUICHAPA LIVERPOOL


Manchester United amechukua kombe dogo la International Champions huko Miami Marekani baada ya kumaliza mechi zake na 'clean sheet'...


Mbele ya mashabiki 50,000 katika uwanja wa Sun Life ambao ni uwanja wa timu ya NFL ya Miami Dolphins Man U iliweza kuilaza Liverpool mabao 3-1.

Steve Gerarrd ndiye aliye anza kufunga bao kwa penalty kick baada ya Raheem Sterling kuangushwa na Phil Jones.



Baada ya dakika 55 Captain Rooney alisawazisha na baada ya dakika kama 2 hivi Mata aliwaweka Man U mbele.

Mwishoni mid-fielder Jesse Lingard akamalizia mabao ya siku...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment