Tuesday 5 August 2014

EPL: ARSENAL WAMTAKA CARVALHO


Arsenal inaongoza mbio za kumnyakua William Carvalho kutoka Sporting Lisbon...Timu zingina ambazo ninamtaka huyu dogo ni Manchester City na Manchester United...Arsenal inasemekana wameweka dau la pounds milioni 23.9 kwa huyu dogo mwenye umri wa miaka 22...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment