Liverpool wamekubali bei ya milioni 12 pounds wamnyakue beki wa kushoto Alberto Moreno kutoka Sevilla...Dogo huyu mweye umri wa miaka 22 atasaidia sana nyuma na hasa ukizingati Jose Enrique yupo lakini hatabiriki...Moreno ni mchezaji wa 8 liverpool kumchukua katika kipindi hiki cha usajili...Bofya hapa upate habari zaidi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 13 August 2014
EPL: ALBERTO MORENO KUIMARISHA KIKOSI LIVERPOOL
Liverpool wamekubali bei ya milioni 12 pounds wamnyakue beki wa kushoto Alberto Moreno kutoka Sevilla...Dogo huyu mweye umri wa miaka 22 atasaidia sana nyuma na hasa ukizingati Jose Enrique yupo lakini hatabiriki...Moreno ni mchezaji wa 8 liverpool kumchukua katika kipindi hiki cha usajili...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment