Thursday 21 August 2014

EPL: MARCOS ROJO NDANI YA OLD TRAFFORD


Argentine International Marcos Rojo atia timu rasmi Old Trafford...Dogo huyo mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka 5 kwa bei ya dola milioni 26.6...Rojo anayetokea Sporting Lisbon ni beki wa kati lakini pia anaweza kucheza nyuma kushoto na ni mashoto ataisaidia sana ngome ya Van Gaal...Rojo alikuwa kwenye timu ya taifa ya Argentina iliyofika fainali mwaka huu huko Brazil...Rojo anaweza akacheza game inayokuja Jumapili dhidi ya Sunderland...Bofya hapa upate habari zaidi za Rojo.

No comments:

Post a Comment