Sunday 17 August 2014

EPL: MANCHESTER CITY YAILAZA NEWCASTLE

Remy Cabella na Kolarov wakitamani huo mpira...
Manchester City imeichapa Newcastle kwa mabao 2-0...Mabao yalikuwa makali na ilionyesha jinsi gani Man City walivyo hatari...Mechi ya leo ilianza kwa kuwakumbuka mashabiki wakubwa wawili wa Newcastle waliopoteza maisha yao kwenye ndege ya Malaysia MH-17...David Silva aliwapatia City bao la kwanza kwenye dakika ya 38 baada ya kupoke mpira saafi wa kisigino kutoka kwa Edin Dzeko...Mwishoni kabisa Aguero alipachika bao la 2 baada ya kukataliwa mara ya kwanza na Tim Krul...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment